Jump to content

User:Jackson Andrew Maiko

Page contents not supported in other languages.
Kusuka e Wikipedia

Jackson Andrew Maiko ni mzaliwa wa mkoa wa Tabora, kahitimu elimu ya msingi katika shule ya msingi ipuli iliyopo kata ya ipuli mkoani Tabora mwaka 2011, shule ya upili hakuhitimu aliishia kidato cha pili,. Kwasasa yupo kahama anajihusisha na utengenezaji na ung'arishaji wa thamani za ndani kama vile makabati, vitanda, meza za vyakula n.k